MARANGU KWETU

Swahili is the main language of MARANGU KWETU facebook group. It is a CLOSED group. There are 7,170 participants in that group. So people rank it like a Large group. You can find this group by searching 130080070404717 on Google, Bing or Yahoo. 2015-02-26 01:39:12 is the closest date we have information about it.

Hii ni kwa Wakazi au Wazawa wa Marangu na maeneo ya jirani.
Malengo ni:-
1.Kupeana taarifa mbali mbali popote mlipo au tulipo
2.Kujuana wazawa wa pande hizi
3.Kusaidiana mambo mbali mbali yatayokuwa ndani ya uwezo wetu
4.Kukuza eneo letu (Marangu) kiutalii na kiuchumi
5.Kuonesha utamaduni mfn. kutumia lugha yetu, picha zetu na mambo kama hayo.
6. Kuanzisha ushirika wa kusaidiana yaani SACCOS ya MARANGU KWETU kabla ya mwaka 2016.
6.Usiingie kwenye kundi kama haujakubaliana na kanuni hizi.

KUMBUKA: Mwanakikundi atakayetumia Lugha au kupost matusi kwenye post zake hatavumilika badala yake ataondolewa kwenye kundi. Ni vema kuheshimu mawazo ya wenzako na kuwa mvumilivu. Administrators wataendelea kufuatilia kila kinachoendelea.

UONGOZI: Kwa sasa viongozi wa kundi ni watano nao ni hawa wafuatao:-
1. Mwenyekiti - Bariki Minja
2. M/M/kiti - Elibariki Kimaro
3. Katibu - Patrisia Kimathi
4. Mtunza hazina - Ben Msolid Mamuya
5. Mshauri - Mwl. Benjamin Mbezi

NB Kwa sasa hatupokei matangazo ya biashara hadi utaratibu wa kuwezesha matangazo hayo utakapokamilika na kutolewa ufafanuzi.

MARANGU KWETU kundi bora la WACHAGA.