ULINGO WA KISIASA

Swahili is the main language of ULINGO WA KISIASA facebook group. It is a CLOSED group. There are 8,522 participants in that group. So it is a Large group. 255620157905859 is the identifier of this group with Facebook. Last update is on 2015-02-27 07:33:32.

KARIBU TUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU SIASA ZA DUNIA BILA KUJALI NI MAHALI GANI KTK DUNIA HII ILI MRADI HUTAVUNJA KANUNI ZIFUATAZO:-
1-NI MARUFUKU KUTOA LUGHA YEYOTE AMBAYO NDANI YA JAMII ITATAMBULIKA KAMA TUSI
2-NI MARUFUKU KUTUKANA AU KUDHALILISHA DINI AU KABILA AU RANGI AU JINSIA AU TAIFA LA MWENZIO
3-HOJA YEYOTE INAPASWA KUJIBIWA KWA HOJA BILA KUJALI UDHAIFU AU WELEDI WA HOJA YENYEWE
4-HILI NI KUNDI LINALOWAHUSU WATU WA VYAMA VYOTE VYA SIASA BILA KUJALI NI VYAMA GANI NA VYA NCHI GANI