Loibor-siret

Loibor-siret is a Swahili group. It is a CLOSED group. They attracted 32 members. So it is a Tiny group. You can find this group by searching 299731566809003 on Google, Bing or Yahoo. Last update is on 2015-02-08 10:12:14.

Loibor-siret Group, is the social group, lengo lake ni kutoa fursa kwa wapenda amani, wazalendo kujadili kwa kina mustakabali wa Loibor-siret,Simanjiro na Taifa zima kwa ujumla.Yoyote yule mwenye mapenzi mema na nchi hii wakiwemo wananchi wa Kata,Kijiji,Wilaya ni ruksa kujadili na kutoa maoni yao nini kifanyike kuleta maendeleo ya kweli ndani ya kata ya Loibor-siret na wilaya ya Simanjiro kwa maslahi ya wananchi na si vikundi vya watu.Group hii halijafungamana na chama chochote cha kisiasa wala kijamii bali ni uwanja mpana unaolenga kuwakutanisha watu wa mitizamo tofauti.Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Simanjiro Mungu Ibariki Loibor-siret na watu wake.