WAKHWELE WOSE CHILONGE CHAKUMWETU NA CHILONGE YAKUMWETU

WAKHWELE WOSE CHILONGE CHAKUMWETU NA CHILONGE YAKUMWETU is a Swahili group. It is a CLOSED group. There are 226 participants in that group. So it is a Tiny group. 133469053459323 is the identifier of this group with Facebook. 2015-02-14 10:41:19 is the closest date we have information about it.

LENGO LA GROUP HILI NI KUKUSANYA WAKWELE (WAKHWELE) ILI TUFAHAMIANE NA PIA TUSHIRIKIANE KWA MAMBO MBALI MBALI

MOJAWAPO NI KUKUZA LUGHA YETU YA KIKHWELE, KWENYE GROUP HII TUNASHAURI TUJITAHIDI KUANDIKA KIKHWELE, KAMA HUJUI KIKHWELE BASI ANDIKA LUGHA YEYOTE INAYOELEWEKA HATUKUZUII

TUNAWEZA KUONGELEA MAMBO MBALI MBALI YAHUSUYO JAMII, MAFUNDISHO YENYE MANUFAA, SALAMU NK. PIA TAARIFA ZA MAENDELEO YA WAKHWELE NA HASA MKOA WETU WA PWANI NA BAGAMOYO, VIONGOZI WETU

KILIMO CHETU, ELIMU YETU, MILA ZETU, MAFANIKIO YETU, WEWE UTAKUWA MDAU MKUBWA WA KUWA ADD(KUWAONGEZA AU KUWAINGIZA WAKHWELE) WAKWELE UNAO WAJUA NA KUWAWEKA KATIKA GROUP HII, NAOMBA MTAKAO INGIZWA HUMU MSITOKE, KAMA UNA SWALI NIANDIKIE gmahanaimu@yahoo.com ama piga 0717528272